Alhamisi, 22 Machi 2018

Kilimo cha pilipili mbuzi

MAMBO YA MSINGI YA KUKUMBUKA UKITAKA KUFANYA KILIMO CHA PILIPILI MBUZI.
Uhakika daily10 hours ago

Ili kupata mazao bora inabidi kuandaa shamba vizuri kwa kulisafisha na kuondoa mabaki yote ya mazao ya zamani na kuyachoma moto ili kuondoa mazalia ya wadudu kutoka katika mazao yaliyopita.  

pia ni  vyema kufanya kilimo cha mzunguko ili kuepuka wadudu kufanya makazi ya kudumu katika shamba lako. 

Kwa pilipili mbuzi ni vyema kuchagua shamba ambalo halijawahi kulimwa karibuni nyanya, tumbaku au viazi mviringo kwani wadudu wanaodhuru mazao haya wanadhuru pia pilipili mbuzi.

endelea kutembelea blog ya kilimo bora

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

West Africa

West Africa In the western Sahel the rise of settled communities occurred largely as a result of the domestication of millet and of ...