Alhamisi, 22 Machi 2018

Ziara ya waziri wa ulinzi wa Israel Ikulu jijini Dar es salaam

Ziara ya Waziri wa Ulinzi wa Israel, Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam
Uhakia daily / 2 hours ago
Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ulinzi wa Israel, Avigdor Lieberman mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.




Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel, Avigdor Lieberman wa kwanza (kushoto kwake) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi wa nne kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Florence Turuka wa kwanza kushoto aliyesimama mstari wa nyuma pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya jeshi.




Rais Dk. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel, Avigdor Lieberman mara baada ya kikao chao Ikulu Dar es Salaam.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

West Africa

West Africa In the western Sahel the rise of settled communities occurred largely as a result of the domestication of millet and of ...